We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

Kilio Changu // My Sadness

from Wahenga: The Official Documentary Soundtrack by Wahenga

/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $1 USD  or more

     

lyrics

Nina kilio changu kwa ndugu zangu
I am in tears because of my relatives
Nitaimba tena ili nipate tulia
I will sing again so that I can relax
Nitasema tena ili nipate kupona
I will speak out so I can be cured
Na maumivu ya ndani, ya moyo wangu jamani
From the pain inside, inside my heart my brothers
Na maumivu ya ndani, nafsini mwangu jamani
From the pain inside, inside my soul
Tumeishi miaka mingi tangu utoto
We have lived together for many years since we were children
Tulipendana sana kama watoto mapacha
We loved each other like twins
Tulipendana sana kama chanda na pete
We loved each other like the ring and the ring finger
Na ndugu zangu jamani
With my relatives

Lakini sasa limezuka la kuzuka
But now something has suddenly started
Tunahasimiana ndugu kwa ndugu
We kinsmen hate each other
Sijui ni laana au wazimu
Is it a curse or madness?
Kitimutimu jamani
Commotion my brothers

Kila siku kugombana, huyu kamsema yule
Everyday fighting, each one blaming another
Yule kamsema huyu, tunashikana uchawi, vurugu tupu
Blaming each other, calling each other witches, just commotion
Vurugu tupu nasikita, kila siku kugombana,
Commotion it’s a pity, everyday fighting
Huyu kamsema yule, yule kamsema huyu,
Blaming each other
Tunashikana uchawi vurugu tupu
Calling each other witches, just commotion

Moyo wangu hisia nasononeka
My heart is sad
Moyo wangu hisia mimi najali
My heart is sad, please, I care
Mnihurumie nateseka kwa mawazo
Pity me, thoughts hurt me
Tusameheane tuvumiliane, tupendane tuishi kama zamani
Let’s forgive each other; let’s love again like before
Sisi ni watoto wa tumbo moja, chuki na visasi vyote vya nini
We are children from one stomach, why hate each other?
Chuki ya nini nasikitika
Why all the hate, I feel bad

Kama kuna gharama zitazohitajika
If there is any expense needed
Kama kuna gharama zitazo gharimu
If there is any expense to pay
Ili mradi tuishi kwa upendo
So that we can live in harmony
Ili mradi tuishi kama zamani
So we can live as in the past
Gharama hizo, nitalipa mimi
I will pay those expenses

Hatarini mpaka lini ninauliza
“In danger until when?” I am asking
Hatarini mpaka lini nasikitika jamaa
“In danger until when?” I am so sad
Ugomvi huo ugomvi dada, Ugomvi huo ugomvi kaka
Oh that fight, my sister. Oh that fight, my brother
Ugomvi huo ugomvi dada, Ugomvi huo ugomvi kaka
Oh that fight, my sister. Oh that fight, my brother

credits

from Wahenga: The Official Documentary Soundtrack, released April 4, 2020
Written by: Geophrey Kumburu. Language: kiSwahili

license

all rights reserved

tags

about

Wahenga Dar Es Salaam, Tanzania

Wahenga Band musicians have played in many of the top bands in Tanzania over the past five decades, including Vijana Jazz, Urafiki Jazz, Mlimani Park Orchestra, Tancut Almasi, Kilimanjaro Band, and more. They play classic Swahili Rumba music with a contemporary twist. You can watch the documentary about Wahenga online here for free during April: vimeo.com/277071803 ... more

contact / help

Contact Wahenga

Streaming and
Download help

Report this track or account

If you like Wahenga, you may also like: