We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.

Wahenga: The Official Documentary Soundtrack

by Wahenga

supported by
graycole
graycole thumbnail
graycole Great music which seems to me very true to the old days when Congo musicians migrated to East Africa and formed big groups with locals. They made fabulous music for dancing or joyous listening..
/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $7 USD  or more

     

1.
Nimeacha roho yangu ee Mvumi I have left my heart in Mvumi Kwa binti mwenye meno ya kichele To the girl with beautiful teeth Nimemuacha mlangoni ee akiniaga I left her standing at the door waving at me Machozi yakimdondoka ee Tears were flowing on her face Naapa nitarudi ee Mvumi I swear I will come back to Mvumi Nimchukue binti wa Kigogo And carry away the Gogo girl Sononeko la moyo nilimuacha yeye My heart pained when I left her Lazima nitarudi tena I just have to go back Nisubiri hapo Mvumi, muda si mrefu nitafika Wait for me in Mvumi, soon I will be back Nije nikuchukue kipenzi cha roho uwe wangu I will take you the love of my life, and make you mine Ane hutya witudze mdala Take care my girl Hane ngwendile I love you
2.
Nina kilio changu kwa ndugu zangu I am in tears because of my relatives Nitaimba tena ili nipate tulia I will sing again so that I can relax Nitasema tena ili nipate kupona I will speak out so I can be cured Na maumivu ya ndani, ya moyo wangu jamani From the pain inside, inside my heart my brothers Na maumivu ya ndani, nafsini mwangu jamani From the pain inside, inside my soul Tumeishi miaka mingi tangu utoto We have lived together for many years since we were children Tulipendana sana kama watoto mapacha We loved each other like twins Tulipendana sana kama chanda na pete We loved each other like the ring and the ring finger Na ndugu zangu jamani With my relatives Lakini sasa limezuka la kuzuka But now something has suddenly started Tunahasimiana ndugu kwa ndugu We kinsmen hate each other Sijui ni laana au wazimu Is it a curse or madness? Kitimutimu jamani Commotion my brothers Kila siku kugombana, huyu kamsema yule Everyday fighting, each one blaming another Yule kamsema huyu, tunashikana uchawi, vurugu tupu Blaming each other, calling each other witches, just commotion Vurugu tupu nasikita, kila siku kugombana, Commotion it’s a pity, everyday fighting Huyu kamsema yule, yule kamsema huyu, Blaming each other Tunashikana uchawi vurugu tupu Calling each other witches, just commotion Moyo wangu hisia nasononeka My heart is sad Moyo wangu hisia mimi najali My heart is sad, please, I care Mnihurumie nateseka kwa mawazo Pity me, thoughts hurt me Tusameheane tuvumiliane, tupendane tuishi kama zamani Let’s forgive each other; let’s love again like before Sisi ni watoto wa tumbo moja, chuki na visasi vyote vya nini We are children from one stomach, why hate each other? Chuki ya nini nasikitika Why all the hate, I feel bad Kama kuna gharama zitazohitajika If there is any expense needed Kama kuna gharama zitazo gharimu If there is any expense to pay Ili mradi tuishi kwa upendo So that we can live in harmony Ili mradi tuishi kama zamani So we can live as in the past Gharama hizo, nitalipa mimi I will pay those expenses Hatarini mpaka lini ninauliza “In danger until when?” I am asking Hatarini mpaka lini nasikitika jamaa “In danger until when?” I am so sad Ugomvi huo ugomvi dada, Ugomvi huo ugomvi kaka Oh that fight, my sister. Oh that fight, my brother Ugomvi huo ugomvi dada, Ugomvi huo ugomvi kaka Oh that fight, my sister. Oh that fight, my brother
3.
Shida! Shida mbaya. Trouble. Bad trouble. Jamani mimi naumia nina mawazo kuhusu maisha yangu e I am in pain about my life Ni muda mrefu sina kazi, nna fanya vibarua vidogovidogo For a long time I have no steady job Havitoshelezi mahitaji yangu ee I can’t make ends meet Nimezaliwa pekee yangu mtoto wa kiume kwa baba na mama e I am my parents’ only child Kila ninalofanya duniani ee sifanikiwi mwanamasikini Nothing comes from whatever I do Wazazi wangu nao wamekwisha zeeka My parents are now old Mke wangu na watoto wananitegemea mimi My wife and children depend on me Na mimi uwezo wa kuwatunza bado sina I don’t yet have the means to take care of them Nitalia na nani wandugu, anitimizie shida zangu Who should I cry to for help? Nitamwendea nani anitimizie shida zangu e Who should I go to ask for help for my troubles? Nitalia na nani wandugu, anitimizie shida zangu Who should I cry to for help? Shida ni ya kawaida kwa binadamu yoyote Every human being has problems Usilalamike sana ndugu yangu we Don’t complain too much my brother Jitahidi kumuomba Mungu nae atakusaidia Pray to God to help you Usikate tamaa ndugu ee Don’t give up my brother Hata vitabu vya Mungu vinasema Even the holy books say Bisheni mtafunguliwa Knock and the door will be opened Ombeni nanyi mtapewa Ask and you will be given Tafuteni mtafanikiwa Look and you shall find Hakuna haja ya kukata tamaa katika kutafuta maisha ndugu ee Don’t give up the search for a better life
4.
Pewibita kukutola Ikidada wandi semwa When you go to propose to a girl, forget your pride Vanya mwana vala sela ukuta kidada winacho Your in-laws should get a hint that you are full of pride Enulongose ikidada na kakana veve koto If you show pride you won’t get the girl Vasatanila nakakana vatigila kidada winacho They will not give you the girl because of your pride Vatigila ndauli? Ohh nambi What will they say? They will say oh no Vatigila dena veve nambi They will definitely say no Mleke mbembe, mleke mbembe vanyalukolo, mleke mbembe Let me cry my brethren, let me cry Lugendo ngono sitai, umwali vao kavatanie I took a five-day journey, they have refused to give me their daughter Vatige ndina kidada, vatigaakana koto They said I am too proud, they said ‘No daughter’ Ngali manyi sake lusisi ngali manyi nditumbike Should I look for a rope, should I hang myself? Ngali manyi nditose muluvaha Should I drown myself in a river? Mleke mbembe, mleke mbembe vanyalukolo, mleke mbembe Let me cry my brethren, let me cry
5.
Sogea sogea wewe dada sogea Come near, girl Ninayo maneno ninataka kukwambia There is something I want to tell you Wewe ni mchoyo haijapata kutokea You are the stingiest person there has ever been Wewe ni mchoyo You are stingy Bahh bwana wewe je, kumnyima mtu kitu ningali ninacho Wow, I can’t refuse to offer something that I have Siwezi I can’t Bahh bwana wewe je, What’s wrong? Sogea sogea wewe dada sogea Come near girl Ninayo maneno ninataka kukwambia There is something I want to tell you Wewe ni mchoyo haijapata kutokea You are the stingiest person there has ever been Wewe ni mchoyo You are stingy Aaa ok Uchoyo uchoyo sina I am not stingy Usiniharibie jina Don’t spoil my name Tukaja tukagombana We could end up fighting Nami ujirani wetu uwe mwema While we are good neighbours Mbona mengi unayasema, eti mi mchoyo sana You are saying I am stingy Wewe kitu gani nilikunyima What did I not give you? Najitolea mengi mengine siri I gave you a lot, some very intimate secrets Wanisakama maneno ufanye dili You talk a lot Shukuru unachopata, Be thankful for what you got Sijefanya nikadata Don’t make me angry Mbona dili tunapata, mbona dili tunapata swadakta When we are all right Bahh, bwana wewe je? Kumnyima mtu kitu ningali ninacho, siwezi Wow, I can’t refuse to offer something that I have Bahh, bwana wewe je? What’s wrong with you?
6.
Weyangu twavila wile weyangu twavilawile The friends I grew up with Wanavana kumigongo ni habali niye Have children on their backs, that’s the story Kinyamkela kanyama, kinyamkela kanyama The devil’s meat, the devil’s meat Ni habali niye That’s the story Kinyamkela kanyama The devil’s meat
7.
Siku hizi yamekwisha, wanangu mapenzi yaliisha enzi za mababu These days there is no love, it ended with the grandfathers Yaliyobaki ni ya kupima ee Love today is by measurement Ukitoa pesa kidogo, unapewa mapenzi kidogo Pay a little and you get little love Ukitoa pesa nyingi, unapewa penzi lote Pay more money and you get more love Ai mapenzi ni kwa kipimo Ohh, love in measures Wanangu mapenzi ni ya kupima siku hizi My children, these days love is in doses Ukija na pesa nyingi, ‘Darling I love you’ If you come with a lot of money, ‘Darling I love you’ Ukija na pesa kidogo, aa utakaa sura mbaya mtu mwenyewe huna hela If you come with little money, ‘Hey penniless ugly face, Umekuja kufanya nini hapa? Toka! What brought you here? Get out!’ Niliishi na kipenzi nilipokuwa na pesa, pesa zilipokwisha mpenzi kanikimbia I lived with my darling when I had money, when I lost money my love ran away Penzi kanikimbia nitafanya nini My love has run away, what should I do? Niliishi na kipenzi nilipokuwa na pesa, pesa zilipokwisha mpenzi kanikimbia I lived with my darling when I had money, when I lost money my love ran away Nawaonya wanangu siku za leo, unapokuwa na pesa jihadhari sana I warn you my children, when you get money be careful Niliishi na kipenzi nilipokuwa na pesa, pesa zilipokwisha mpenzi kanikimbia I lived with my darling when I had money, when I lost money my love ran away Yasije yakawakuta, yaliyonipata mimi, enzi ya ujana wangu nilijuta sana Don’t make the mistakes I made when I was young, I regretted
8.
Mpenzi wangu nasikitika aa, mpenzi wangu waniliza mama My love I am so sad, my love you are making me cry Naona umebadili tabia yako, mwenendo wako pia umegeuza mama You have changed Sababu ya maneno ya watu mitaani, wanasema mimi masikini sina pesa Just because neighbours are telling you I am poor Wanasema mimi masikini sina lolote They say I have nothing Nakutesa mama, nakuzeesha bure That I torture you, that I am making you grow old Nakutesa mama, nakuzeesha bure That I torture you, that I am making you grow old Ahhh mpenzie Ahh mpenzie Ohh my love Kumbuka tumetoka mbali mama Remember we came from far Na kule twendako ni mbali bibie tuvumiliane And we are going far, be patient Shida na raha ni kawaida mama, maisha magumu elewaa Sweetness and pain are ordinary things, life is tough understand Kuna kupanda na kushuka mi nasema Life is ups and down I tell you Ahh mpenzie, Ahh mpenzie Ohh my love Kumbuka tumetoka mbali mama Remember we came from far Na kule twendako ni mbali bibie tuvumiliane And we are going far, be patient Maneno neno ya watu mitaani usifwate Don’t listen to street talk Hawapendi kuona wawili wakipendana They hate seeing two people in love Maji ya moto hayachomi nyumba Boiling water will not burn a house Ahh mpenzie, Ahh mpenzie Ohh my love Kumbuka tumetoka mbali mama Remember we came from far Na kule twendako ni mbali bibie tuvumiliane And we are going far, be patient
9.
Pewibita kukutola Ikidada wandi semwa When you go to propose to a girl, forget your pride Vanya mwana vala sela ukuta kidada winacho Your in-laws should get a hint that you are full of pride Enulongose ikidada na kakana veve koto If you show pride you won’t get the girl Vasatanila nakakana vatigila kidada winacho They will not give you the girl because of your pride Vatigila ndauli? Ohh nambi What will they say? They will say oh no Vatigila dena veve nambi They will definitely say no Mleke mbembe, mleke mbembe vanyalukolo, mleke mbembe Let me cry my brethren, let me cry Lugendo ngono sitai, umwali vao kavatanie I took a five-day journey, they have refused to give me their daughter Vatige ndina kidada, vatigaakana koto They said I am too proud, they said ‘No daughter’ Ngali manyi sake lusisi ngali manyi nditumbike Should I look for a rope, should I hang myself? Ngali manyi nditose muluvaha Should I drown myself in a river? Mleke mbembe, mleke mbembe vanyalukolo, mleke mbembe Let me cry my brethren, let me cry

about

Wahenga (The Ancestors) is a documentary film released in July 2018, which follows John Kitime, an energetic musician in his 60s, who puts together a band to revive the dying sound of Tanzanian Zilipendwa, music from the early independence era. Weaving memories of the past and dreams for the future, John and his bandmates revisit the era of gleaming horns and packed dance halls as they struggle to keep the music alive in a passionate argument for “the ones that were loved". This album is the original music recorded during the making of the film by the Wahenga band.

Stream the documentary for FREE during April 2020 here: vimeo.com/277071803

credits

released April 4, 2020

ALL SONGS PERFORMED BY:

WAHENGA BAND, featuring:

John Kitime - lead guitar, vocals, band leader
Frank Massamba - saxophone, vocals
Anania Ngoliga - ilimba, bass guitar, vocals
Simon Mwamkinga - keyboard, vocals
Taji Mwinshehe - bass buitar
Ally Yahaya - saxophone
Chiku Keto -vocals
James Mawila - drums
Hamisi Mnyeupe - trumpet
Godfrey Mkude - 1st solo guitar
Geophrey Kumburu - keyboard, vocals
Abou Mwinchumu - congas
Chinyemi Mganga - 2nd solo guitar
Ombeni Sheidodo - trumpet
Paschal Kinuka - bass guitar

Additional musicians:
Grace Matata: Vocals
Remi Tone: Percussion

CREDITS
Recorded by: Sam Jones (SoundThread UK) // 29 June – 13 July 2015 at the Music Mayday Studio, Mikocheni A, Dar es Salaam, Tanzania
Mixed and mastered by: Yusuf Good Mirambo

license

all rights reserved

tags

about

Wahenga Dar Es Salaam, Tanzania

Wahenga Band musicians have played in many of the top bands in Tanzania over the past five decades, including Vijana Jazz, Urafiki Jazz, Mlimani Park Orchestra, Tancut Almasi, Kilimanjaro Band, and more. They play classic Swahili Rumba music with a contemporary twist. You can watch the documentary about Wahenga online here for free during April: vimeo.com/277071803 ... more

contact / help

Contact Wahenga

Streaming and
Download help

Report this album or account

If you like Wahenga, you may also like: