We’ve updated our Terms of Use to reflect our new entity name and address. You can review the changes here.
We’ve updated our Terms of Use. You can review the changes here.
/
  • Streaming + Download

    Includes unlimited streaming via the free Bandcamp app, plus high-quality download in MP3, FLAC and more.
    Purchasable with gift card

      $1 USD  or more

     

lyrics

Shida! Shida mbaya.
Trouble. Bad trouble.
Jamani mimi naumia nina mawazo kuhusu maisha yangu e
I am in pain about my life
Ni muda mrefu sina kazi, nna fanya vibarua vidogovidogo
For a long time I have no steady job
Havitoshelezi mahitaji yangu ee
I can’t make ends meet
Nimezaliwa pekee yangu mtoto wa kiume kwa baba na mama e
I am my parents’ only child
Kila ninalofanya duniani ee sifanikiwi mwanamasikini
Nothing comes from whatever I do
Wazazi wangu nao wamekwisha zeeka
My parents are now old
Mke wangu na watoto wananitegemea mimi
My wife and children depend on me
Na mimi uwezo wa kuwatunza bado sina
I don’t yet have the means to take care of them
Nitalia na nani wandugu, anitimizie shida zangu
Who should I cry to for help?
Nitamwendea nani anitimizie shida zangu e
Who should I go to ask for help for my troubles?
Nitalia na nani wandugu, anitimizie shida zangu
Who should I cry to for help?

Shida ni ya kawaida kwa binadamu yoyote
Every human being has problems
Usilalamike sana ndugu yangu we
Don’t complain too much my brother
Jitahidi kumuomba Mungu nae atakusaidia
Pray to God to help you
Usikate tamaa ndugu ee
Don’t give up my brother

Hata vitabu vya Mungu vinasema
Even the holy books say
Bisheni mtafunguliwa
Knock and the door will be opened
Ombeni nanyi mtapewa
Ask and you will be given
Tafuteni mtafanikiwa
Look and you shall find
Hakuna haja ya kukata tamaa katika kutafuta maisha ndugu ee
Don’t give up the search for a better life

credits

from Wahenga: The Official Documentary Soundtrack, released April 4, 2020
Written by: Anania Ngoliga. Language: kiSwahili

license

all rights reserved

tags

about

Wahenga Dar Es Salaam, Tanzania

Wahenga Band musicians have played in many of the top bands in Tanzania over the past five decades, including Vijana Jazz, Urafiki Jazz, Mlimani Park Orchestra, Tancut Almasi, Kilimanjaro Band, and more. They play classic Swahili Rumba music with a contemporary twist. You can watch the documentary about Wahenga online here for free during April: vimeo.com/277071803 ... more

contact / help

Contact Wahenga

Streaming and
Download help

Report this track or account

If you like Wahenga, you may also like: